TRENDING DAILY POST | We Collect and Share Stories with you!

CRAZY Open Letter To Citizen TV Anchors Kanze Dena & Lulu Hassan

1comments

Kanze Dena and Lulu Hassan are two of the top Kiswahili anchors not only at Citizen TV
Dear Kanze Dena and Lulu Hassan:
Am writing this letter in reply of what you told me after reading the news on citizen tv, I remember very well, wewe Kanze uliniita "mpezi mtazamaji". Hayo maneno yalinifanya nijihisi ni kana kwamba niko paradiso, Sekunde kathaa kupita, na wewe Lulu ukarudia yale maneno na isitoshe ukasema " ni mimi wako" ...yaani hata hukuogopa Kanze dena mwenye alikua ameniita mpenzi, aki, mimi sasa nishaa amua ni nyinyi wawili napenda, lakini nahofia that ile siku mtajua that mnanipenda nyinyi wote, simtapigana sana juu yangu? Aki msipigane, mimi ndio nawapenda nyinyi wawili juu mlionyesha kwa tv hadharani mbele ya kila mtu kwa kuniita mpenzi mtazamaji na pia kusema " mimi ni wako".
From deepest of my heart, I love you and I will never play you. Thank u for loving me. Am ready to live with you and have family with you two coz am deeply in love with you.
via ghafla
Props: TruthMeter








+ comments + 1 comments

22 July 2013 at 13:26

Lulu and Kanze are real lookers who keep men on the run with me not being an exception. But currently am tired of being a secret admirer .The two have attractive personalities

Post a Comment
 
Support : Disclaimer | Copyright © 2014. HOT STORIES ONLINE - Rights Reserved

Proudly powered by Blogger