TRENDING DAILY POST | We Collect and Share Stories with you!

KTN’S SENIOR INVESTIGATIVE REPORTER MOHAMED ALI OF JICHO PEVU PREDICTS HIS OWN DEATH IN THIS CHILLING LETTER DETAILING HIS POTENTIAL THREATS!!! HE MAY END UP LIKE JACOB JUMA

0 comments



Watoto wanazidi kuzaliwa na kila wanapokosa nafasi yao katika jamii wanazidi kuuliza masuali. Kenya sasa watoto wametapakaa kila mahala, hawana kazi, wanauawa ovyo ovyo, wana elimu lakini hawaheshimiwi wala kupewa kazi, wana utu lakini wanadharauliwa. Zamu ya kuitisha nafasi yao imefika.

Zamu ya kutaka taifa lao imefika. Zamu ya kutaka kuongoza taifa kutoka mikono ya watapeli, wafisadi na wabakaji wa demokrasia na haki ya msingi ya wakenya kuishi imefika. Vijana sasa wanataka Kenya yao, vijana sasa wana kiu cha uongozi, vijana wanataka kuoa na kuwa na maisha bora, vijana hawa sasa wanataka kazi.

Je, ni nani atasimama mbele yao na kupinga hazi zao? Kenya inalia, Kenya inataka usaidizi wa dharura, wakenya wameamka kutoka usingizi ya kikabila. Wakenya wanataka Kenya yao. Safari imeanza. Nikififa kesho msilie ila muendeleze safari ya ukombozi!

Mohammed Ali ni Mhariri Mkuu wa Kitengo cha Upekuzi KTN.
Kuwasiliana naye: mali@standardmedia.co.ke, FB: Official Jicho Pevu with Mohammed Ali, Instagram: @mohajichopevu, Twitter:
@mohajichopevu”
PAGE:  1,  2,  3,  4,  
 
Support : Disclaimer | Copyright © 2014. HOT STORIES ONLINE - Rights Reserved

Proudly powered by Blogger